Naona huyu jamaa anaendelea kuchafua upepo wa Tundu Lissu.
Leo kaamka na kingine. Soma asemavyo Emmanuel Ntobi Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga alichokiandika katika mtandao wa X
Kwamba, tuwe na Mwenyekiti wa Chama, ambaye kila baada ya wiki mbili au tatu wanaCHADEMA tunakwenda Airport na media ya Jambo tv kumpokea akitokea nyumbani kwake Ubelgiji.
View attachment 3195127