Ntobi na Yericko wanajua Chadema ilianzishwa 2019, kwahiyo ni haki yao kumtetea Mbowe

Ntobi na Yericko wanajua Chadema ilianzishwa 2019, kwahiyo ni haki yao kumtetea Mbowe

Nimesikitika sana. Pamoja na sera nzuri alizonazo lisu na watu wenye uwezo wa kujenga hoja. Nimeota eti mbowe ameshinda uchaguzi na kuna figisu zitafanyika kumuhujumu lisu asishinde.
 
Nimesikitika sana. Pamoja na sera nzuri alizonazo lisu na watu wenye uwezo wa kujenga hoja. Nimeota eti mbowe ameshinda uchaguzi na kuna figisu zitafanyika kumuhujumu lisu asishinde.
Haahaa mkuu mungu ni mwema, mbowe akishinda itakuwa bahati mbaya Sana kwa chadema, umma utakuwa against them.Jana nimemwona mwenyekiti wa mkoa washinyanga dah... Kazi ipo kwa chadema
 
Haahaa mkuu mungu ni mwema, mbowe akishinda itakuwa bahati mbaya Sana kwa chadema, umma utakuwa against them.Jana nimemwona mwenyekiti wa mkoa washinyanga dah... Kazi ipo kwa chadema
Na sielewi kwa nini amekaza fuvu, ni bora angwaacha kina lisu wagombee afu yeye awe controler asionekana kama kikwete anavofanya.
 
Fedha muda mwingine inaondoa hata maarifa ya ukweli unaoujua kwa kushupaza shingo kama inavyowatokea kina ntobi
 
Unaweza kukuta Hawa Vijana wamemroga Mbowe

Maana wanatia AIBU lakini Mbowe hashtuki Kabisa
Asee nakubali sababu Mbowe hajawahi kuwa mjinga kiasi hiki mpaka naona aibu kuwa shabiki ake, ina maana hata familia yake ameshindwa kuwasikiliza au ni ule mfumo ndume? nilipoona MMM, Malisa G na Boni Yai wamerudi nyuma kumtetea nikajua hapa kuna shida
 
Back
Top Bottom