johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hapa Lumumbani tunarekodi Kila sentenso πIla wewe jamaa ni balaa
Ili Chadema ife ni lazima Mbowe ashindeNimesikitika sana. Pamoja na sera nzuri alizonazo lisu na watu wenye uwezo wa kujenga hoja. Nimeota eti mbowe ameshinda uchaguzi na kuna figisu zitafanyika kumuhujumu lisu asishinde.
Mbowe halijui hiloIli Chadema ife ni lazima Mbowe ashinde
CCM akili kubwa ππ
Hatimae chadema imegeuka kituko ghafla πMwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Shinyanga Mh Ntobi amesema Chadema iliasisiwa 2019
Ntobi hajarekebisha Kauli licha ya Wajumbe kuguna
Chadema Kuna vituko sana ππ
Mimi niliingia Chadema 1993, nimeshangaa sana πΌ
Haahaa mkuu mungu ni mwema, mbowe akishinda itakuwa bahati mbaya Sana kwa chadema, umma utakuwa against them.Jana nimemwona mwenyekiti wa mkoa washinyanga dah... Kazi ipo kwa chademaNimesikitika sana. Pamoja na sera nzuri alizonazo lisu na watu wenye uwezo wa kujenga hoja. Nimeota eti mbowe ameshinda uchaguzi na kuna figisu zitafanyika kumuhujumu lisu asishinde.
Afadhali TLP ya Lyatonga Mrema πHatimae chadema imegeuka kituko ghafla π
Na sielewi kwa nini amekaza fuvu, ni bora angwaacha kina lisu wagombee afu yeye awe controler asionekana kama kikwete anavofanya.Haahaa mkuu mungu ni mwema, mbowe akishinda itakuwa bahati mbaya Sana kwa chadema, umma utakuwa against them.Jana nimemwona mwenyekiti wa mkoa washinyanga dah... Kazi ipo kwa chadema
Naona Chauma pia ni makini kuliko hii!Afadhali TLP ya Lyatonga Mrema π
Chadema ni Kaole na Mbowe ndio Muhogo Mchungu πNaona Chauma pia ni makini kuliko hii!
Ila Mbowe kazungukwa na watu wajinga sn aseeMwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Shinyanga Mh Ntobi amesema Chadema iliasisiwa 2019
Ntobi hajarekebisha Kauli licha ya Wajumbe kuguna
Chadema Kuna vituko sana ππ
Mimi niliingia Chadema 1993, nimeshangaa sana πΌ
Unaweza kukuta Hawa Vijana wamemroga MboweDa hadi aibu kama chama ndiyo kinawategemea akina Yeriko na Ntobi
Asee nakubali sababu Mbowe hajawahi kuwa mjinga kiasi hiki mpaka naona aibu kuwa shabiki ake, ina maana hata familia yake ameshindwa kuwasikiliza au ni ule mfumo ndume? nilipoona MMM, Malisa G na Boni Yai wamerudi nyuma kumtetea nikajua hapa kuna shidaUnaweza kukuta Hawa Vijana wamemroga Mbowe
Maana wanatia AIBU lakini Mbowe hashtuki Kabisa