Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
It's called slip of the tongue!Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Shinyanga Mh Ntobi amesema Chadema iliasisiwa 2019
Ntobi hajarekebisha Kauli licha ya Wajumbe kuguna
Chadema Kuna vituko sana ππ
Mimi niliingia Chadema 1993, nimeshangaa sana πΌ
Unadhani Vitabu vya Yeriko vingeshinda Tuzo bila ndumba πππAsee nakubali sababu Mbowe hajawahi kuwa mjinga kiasi hiki mpaka naona aibu kuwa shabiki ake, ina maana hata familia yake ameshindwa kuwasikiliza au ni ule mfumo ndume? nilipoona MMM, Malisa G na Boni Yai wamerudi nyuma kumtetea nikajua hapa kuna shida
Watu wakiguna unarekebisha bwashee πIt's called slip of the tongue!
Hata akishinda itajulikana ni figisu! Maana haungwi mkono na wengi! Wewe fikiria kwenye ule mdahalo ilikuwa smart people( lissu) vs zidumu fikra za mwenyekiti(mbowe)Nimesikitika sana. Pamoja na sera nzuri alizonazo lisu na watu wenye uwezo wa kujenga hoja. Nimeota eti mbowe ameshinda uchaguzi na kuna figisu zitafanyika kumuhujumu lisu asishinde.
na ndo timu mbowe inamtegemeaHata akishinda itajulikana ni figisu! Maana haungwi mkono na wengi! Wewe fikiria kwenye ule mdahalo ilikuwa smart people( lissu) vs zidumu fikra za mwenyekiti(mbowe)
Ila nimalizie tu Yerico ni kilaza plus.