Omutwale JF-Expert Member Joined Feb 4, 2008 Posts 1,429 Reaction score 1,047 Jul 6, 2009 #1 Katika kuhakikisha upinzani unajidhaiti vyema mkoani KAGERA kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2010, kazi imeanza rasmi kuusaka mwamba wa Karagwe kujiunga na ...... Shukrani kwa Wajumbe wa Kaskazini kwa nia yenu ya dhati kuleta mabadiliko KAGERA.
Katika kuhakikisha upinzani unajidhaiti vyema mkoani KAGERA kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2010, kazi imeanza rasmi kuusaka mwamba wa Karagwe kujiunga na ...... Shukrani kwa Wajumbe wa Kaskazini kwa nia yenu ya dhati kuleta mabadiliko KAGERA.
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,329 Reaction score 5,024 Jul 6, 2009 #2 Hata kama hakuna chanzo cha habari yako lakini ni jambo jema ikitokea hivyo.Wamwache mzee wa Kiraracha ajimalize taratibu.
Hata kama hakuna chanzo cha habari yako lakini ni jambo jema ikitokea hivyo.Wamwache mzee wa Kiraracha ajimalize taratibu.
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,635 Reaction score 2,271 Jul 6, 2009 #3 Mtungirei soma alama za nyakati,Mrema atakuzamisha jiunge na Chama makini CHADEMA uendeleze kipaji chako ulichonacho tangu tukiwa Shuleni.
Mtungirei soma alama za nyakati,Mrema atakuzamisha jiunge na Chama makini CHADEMA uendeleze kipaji chako ulichonacho tangu tukiwa Shuleni.
Kaa la Moto JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 7,904 Reaction score 1,064 Jul 8, 2009 #4 Karibu Chadema brother. Chama kisicho na uhuni, ukabila na udini Tanzania