Ntungirehi kumfuata Lwakatare

Ntungirehi kumfuata Lwakatare

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,047
Katika kuhakikisha upinzani unajidhaiti vyema mkoani KAGERA kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka 2010, kazi imeanza rasmi kuusaka mwamba wa Karagwe kujiunga na ......
Shukrani kwa Wajumbe wa Kaskazini kwa nia yenu ya dhati kuleta mabadiliko KAGERA.
 
Hata kama hakuna chanzo cha habari yako lakini ni jambo jema ikitokea hivyo.Wamwache mzee wa Kiraracha ajimalize taratibu.
 
Mtungirei soma alama za nyakati,Mrema atakuzamisha jiunge na Chama makini CHADEMA uendeleze kipaji chako ulichonacho tangu tukiwa Shuleni.
 
Karibu Chadema brother. Chama kisicho na uhuni, ukabila na udini Tanzania
 
Back
Top Bottom