NTV na KTN zarejeshwa hewani, Citizen TV yabaniwa..

NTV na KTN zarejeshwa hewani, Citizen TV yabaniwa..

Interest

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
3,434
Reaction score
7,072
Hatimaye Serikali ya Kenya imevirejesha hewani vituo vya runinga vya NTV na KTN kwa wateja wa kulipia kupitia DSTV, GoTV na ZUKU baada ya kuzimwa kwa siku 7 kutokana na kurusha LIVE tukio la kuapishwa Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga.

Wateja wanaopokea huduma hizo bila malipo bado hawajarejeshewa huduma.

Kituo cha Citizen Tv bado hakijarejeshwa hewani pasipo sababu zozote kuelezwa.
 
Safi sana, wala wasiwe na haraka ya kurudisha CitizenTv. hewani. Waliowamisi ni mahausigeli tu, wapendwa nambari moja wa afrosinena na vipindi vyao vingine vya ajabu ajabu!
 
Back
Top Bottom