Nudreen Kishk kujibu kama katika Usilam kuna upako

Anonymous77

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2022
Posts
589
Reaction score
1,515
Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako.

Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja na mada ninayosomeka JE, KATIKA UISLAM KUNA UPAKO?

OCT 18, IJUMAA HII MASJD IHSAAN TEMEKE VETENARY, mhadhiri wa kimataifa nudreen kishk anaenda kutupatia jibu je katika uislam kuna upako?

1729161031372.jpg
 
sasa amejibu wapi?
Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako.

Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja na mada ninayosomeka JE KATIKA UISLAM KUNA UPAKO..!?

OCT 18, IJUMAA HII MASJD IHSAAN TEMEKE VETENARY, mhadhiri wa kimataifa nudreen kishk anaenda kutupatia jibu je katika uislam kuna upako..!?

View attachment 3127626
Badilisha Tittle.
 
Sikiliza nikuambie ndugu yangu , tofauti ni maneno yanatotumika .Mfano: sisi waislamu tunaita wahyi =wakristo wanaita (ufunuo).

Maji ya zamzam (yenye baraka kwa waislamu ) ambayo yako karne kwa karne yanachulikuwa Mecca = Wakristo maji yao wanaita ya upako na wengine wanaita kombe .

Mafuta ya mzaituni ni dawa hata uingie youtube ila anachofanya yule jamaa ni mbwembwe , mimi natumia mafuta ya mzaituni nanua pale msikiti wa ghazija , posta.
 
Mambo yanaenda ndivyo sivyo sana saivi. Waislam siku hizi wana vitu ambavyo zamani tulizoea kuviona upande mwingine.

Kuna siku nimeona sehemu mkutano wa hadhara wa waislamu ukihusisha pia kutoa mapepo kwa njia kama ya kuombea.

Je ni mungu katoa ujumbe kwamba mambo yanapaswa kwenda hivi sasa hivi au ni watu kujiongeza!? Vipi kuhusu uhalali!!
 
Tuliza mzuka tupate jibu kutoka kwa sheikh wetu
 
Mambo yanaenda ndivyo sivyo sana saivi. Waislam siku hizi wana vitu ambavyo zamani tulizoea kuviona upande mwingine.

Kuna siku nimeona sehemu mkutano wa hadhara wa waislamu ukihusisha pia kutoa mapepo kwa njia kama ya kuombea.

Je ni mungu katoa ujumbe kwamba mambo yanapaswa kwenda hivi sasa hivi au ni watu kujiongeza!? Vipi kuhusu uhalali!!
Sasa ulitaka tuyatoe kwa kiyatukana hilo mbona kawaida miaka na miaka hata wewe hujazaliwa tunayotoa Kwa Quran
 
acha kuhusisha uislamu na waganga njaa, wameona soko la wajinga liko wapi
Ni muhimu nafkiri hawa waganga njaa wakaelezwa kua wanachofanya sio uislamu na waache kabisa ili kulinda heshima ya uislamu. Au unaonaje?
 
Huwezi mzuia mtu kuganga njaa, maana atakwambia havunji sheria , muhimu haya mambo unayaona sasa kwasababu ya njaa hakuna kingine
 
Sasa ulitaka tuyatoe kwa kiyatukana hilo mbona kawaida miaka na miaka hata wewe hujazaliwa tunayotoa Kwa Quran
Swala ni kua sikua nimewai kuona kitu kama hicho ndoomana nikashangazwa kuona kimeibuka
Huwezi mzuia mtu kuganga njaa, maana atakwambia havunji sheria , muhimu haya mambo unayaona sasa kwasababu ya njaa hakuna kingine
Mtu akuharibie jina umwache kisa ana njaa. Sio sahihi
 
Anataka watu wajae msikitini kwake akombe sadaka.🐒
Karibu msikitn sheikh ujionee hata mambo ya sadaka hakuna anaegusia kabisa Labla zaka sio sadaka utoe usitoe shauri yako.. mbaya zaidi sadaka haiingi mfukoni mwa mwenye msikiti wala haichukui imam wa msikiti ila inaenda kwenye uongozi wa msikiti na inatumika kwa ajiri ya msikiti
 
Kule hakunaga kulazimishwa sadaka.

Misikiti mingine hawajangushi kabisa Sadaka.

Misikiti iliyo chini ya Bakwata ndio mambo ya Sadaka yapo sana, ila hakuna kulazimishwa kutoa.
Msitiki wa kitaa uko karibu na Godown , naona tajiri mwenyewe ndio ana lipa kila kitu ...Mafeni masaa 24 na maji ya bure kwa wapita njia ...Hamna sadaka wala nn ..
 
Back
Top Bottom