Nudreen Kishk kujibu kama katika Usilam kuna upako

Nudreen Kishk kujibu kama katika Usilam kuna upako

Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako.

Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja na mada ninayosomeka JE KATIKA UISLAM KUNA UPAKO..!?

OCT 18, IJUMAA HII MASJD IHSAAN TEMEKE VETENARY, mhadhiri wa kimataifa nudreen kishk anaenda kutupatia jibu je katika uislam kuna upako..!?

View attachment 3127626
Shehe Kishik yuko vizuri sana kwenye theory za kuuelezea uislamu lakini hakuna shehe dhurumati mali za waislamu muslamu akifa kama shehe kishik kudhulumu warithi
Muislamu akiumwa atajitia kumtibia akiona anakaribia kufa au mzee au mjane atafanya porojo zote aandike wasia mali yuko nazo ziwe kwa jina la taasisi yake au yeye huku akipiga video na picha nk kusaini mikataba na kurekodi makubaliano
Wengi kawaliza sana huyo shehe Kishik
 
Hahahaaa, naona inakuuma sana unapoina jina la Yesu Mwana wa Mungu aliyehai linafanya mambo makubwa Duniani wakati huo huo allah yeye hana uwezo mpaka waislamu wamsaidie. Pole sana kwa kuliamini jini Allah na kulipa heshima uliyo stahiki kumpa Mungu Muumba wa mbingu na nchi. Nakuombea ili neema ya Mungu ikufikie na kukuangazia kweli yake utoke kwenye giza la Allah na kuingia nuruni.
Yaani Mungu wako wamtundike kama Nguo hafalu mimi mwenye Mungu untachable niumie!! kijana huko serious kweli ? mimi siwezi kuwa na Mungu anapigwa makofi, hata kiongozi wangu wa mtaa ukimpiga makofi ni jela, sasa kuna kamungu kamepigwa makofi na watu anaodai kuwaumba mwenyewe tena kichekesho kingine eti kuwakomboa kutoka kwenye vifungo ambavyo haviwezi kumdhuru huyo Mungu ahahahah, wewe umepigwa huna Mungu , Allah katulia hakuna mtu anaweza rusha hata mate
 
Karibu msikitn sheikh ujionee hata mambo ya sadaka hakuna anaegusia kabisa Labla zaka sio sadaka utoe usitoe shauri yako.. mbaya zaidi sadaka haiingi mfukoni mwa mwenye msikiti wala haichukui imam wa msikiti ila inaenda kwenye uongozi wa msikiti na inatumika kwa ajiri ya msikiti
Kwanini hilo swala asilitolee ufafanuzi Leo,?
 
Hakuna Mungu anaitwa Allah, Allah ni jini tu kama majini ya hapo msikitini kwako. Allah anafugwa na hana uwezo wowote ule. Mungu mkuu wakweli ni mmoja tu na Mwana wake ni Yesu Kristo aliyekubaki kuja kutoa uhai wake ili wewe uachane na huyo jini Allah upate uzima wa milele. Allah hana pa kukupeleka na ameshajipambanua kwenye daftari lake (qur an) kwamba hajui chochote kuhusu habari za pepo, na hata Muhammad anasema hajui anapo wapeleka waislamu na amesema kuwa yeye ni kiroja tu wa Allah. Usiseme kuwa hukuambiwa.
Sawa amini unachokiamini wala hukatazwi ila dhihaka kwa dini nyengine za nini?!
 
Karibu msikitn sheikh ujionee hata mambo ya sadaka hakuna anaegusia kabisa Labla zaka sio sadaka utoe usitoe shauri yako.. mbaya zaidi sadaka haiingi mfukoni mwa mwenye msikiti wala haichukui imam wa msikiti ila inaenda kwenye uongozi wa msikiti na inatumika kwa ajiri ya msikiti
Na huo uongozi wa msikiti huwa wanaitafuna mno sadaka
 
Hakuna Mungu anaitwa Allah, Allah ni jini tu kama majini ya hapo msikitini kwako. Allah anafugwa na hana uwezo wowote ule. Mungu mkuu wakweli ni mmoja tu na Mwana wake ni Yesu Kristo aliyekubaki kuja kutoa uhai wake ili wewe uachane na huyo jini Allah upate uzima wa milele. Allah hana pa kukupeleka na ameshajipambanua kwenye daftari lake (qur an) kwamba hajui chochote kuhusu habari za pepo, na hata Muhammad anasema hajui anapo wapeleka waislamu na amesema kuwa yeye ni kiroja tu wa Allah. Usiseme kuwa hukuambiwa.
Hakuna Mungu anaweza pigwa kofi na kiumbe chake, hata baba yako mzazi huwezi mjibu hovyo achilia mbali kumpiga makofi,, Allah ni Mungu kweli, huwezi kukuta anafanyiwa mambo ya hovyo kutundikwa kama mzoga uliokufa kwa kugongwa na gari, eti Mungu katundikwa kutukomboa ujinga mtupuuu, dunia yake hakukomboe kwa viumbe wake mwenyewe, wewe ukapimwe akili kuamini Mungu wa hovyo kama huyo
 
Back
Top Bottom