Anonymous77
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 589
- 1,515
sasa amejibu wapi?
Badilisha Tittle.Hivi karibu baada ya kusambaa kwa video fupi mtandaoni ikimuonyesha sheikh aliekuwa akinadi mafuta na akidai kuwa ni mafuta ya upako.
Hatimae mhadhiri wa kimataifa SHEIKH NUDREEN KISHK, amekuja na mada ninayosomeka JE KATIKA UISLAM KUNA UPAKO..!?
OCT 18, IJUMAA HII MASJD IHSAAN TEMEKE VETENARY, mhadhiri wa kimataifa nudreen kishk anaenda kutupatia jibu je katika uislam kuna upako..!?
View attachment 3127626
Tuliza mzuka tupate jibu kutoka kwa sheikh wetuSikiliza nikuambie ndugu yangu , tofauti ni maneno yanatotumika .Mfano: sisi waislamu tunaita wahyi =wakristo wanaita (ufunuo).
Maji ya zamzam (yenye baraka kwa waislamu ) ambayo yako karne kwa karne yanachulikuwa Mecca = Wakristo maji yao wanaita ya upako na wengine wanaita kombe .
Mafuta ya mzaituni ni dawa hata uingie youtube ila anachofanya yule jamaa ni mbwembwe , mimi natumia mafuta ya mzaituni nanua pale msikiti wa ghazija , posta.
Msikilize keshoTuliza mzuka tupate jibu kutoka kwa sheikh wetu
Sasa ulitaka tuyatoe kwa kiyatukana hilo mbona kawaida miaka na miaka hata wewe hujazaliwa tunayotoa Kwa QuranMambo yanaenda ndivyo sivyo sana saivi. Waislam siku hizi wana vitu ambavyo zamani tulizoea kuviona upande mwingine.
Kuna siku nimeona sehemu mkutano wa hadhara wa waislamu ukihusisha pia kutoa mapepo kwa njia kama ya kuombea.
Je ni mungu katoa ujumbe kwamba mambo yanapaswa kwenda hivi sasa hivi au ni watu kujiongeza!? Vipi kuhusu uhalali!!
INCHALLAHMsikilize kesho
Ni muhimu nafkiri hawa waganga njaa wakaelezwa kua wanachofanya sio uislamu na waache kabisa ili kulinda heshima ya uislamu. Au unaonaje?acha kuhusisha uislamu na waganga njaa, wameona soko la wajinga liko wapi
Kule hakunaga kulazimishwa sadaka.Anataka watu wajae msikitini kwake akombe sadaka.[emoji205]
Huwezi mzuia mtu kuganga njaa, maana atakwambia havunji sheria , muhimu haya mambo unayaona sasa kwasababu ya njaa hakuna kingineNi muhimu nafkiri hawa waganga njaa wakaelezwa kua wanachofanya sio uislamu na waache kabisa ili kulinda heshima ya uislamu. Au unaonaje?
Punguza unafiki hujawahi kuwa muislamu .Waislamu tuko vizuri sana na Allah wetu kipenzi cha Muhammad. Sahivi nasisi tumekuja na mafuta ya upako. Allah hayupo nyuma anaupiga mwingi kama sa100.
Swala ni kua sikua nimewai kuona kitu kama hicho ndoomana nikashangazwa kuona kimeibukaSasa ulitaka tuyatoe kwa kiyatukana hilo mbona kawaida miaka na miaka hata wewe hujazaliwa tunayotoa Kwa Quran
Mtu akuharibie jina umwache kisa ana njaa. Sio sahihiHuwezi mzuia mtu kuganga njaa, maana atakwambia havunji sheria , muhimu haya mambo unayaona sasa kwasababu ya njaa hakuna kingine
Karibu msikitn sheikh ujionee hata mambo ya sadaka hakuna anaegusia kabisa Labla zaka sio sadaka utoe usitoe shauri yako.. mbaya zaidi sadaka haiingi mfukoni mwa mwenye msikiti wala haichukui imam wa msikiti ila inaenda kwenye uongozi wa msikiti na inatumika kwa ajiri ya msikitiAnataka watu wajae msikitini kwake akombe sadaka.🐒
Msitiki wa kitaa uko karibu na Godown , naona tajiri mwenyewe ndio ana lipa kila kitu ...Mafeni masaa 24 na maji ya bure kwa wapita njia ...Hamna sadaka wala nn ..Kule hakunaga kulazimishwa sadaka.
Misikiti mingine hawajangushi kabisa Sadaka.
Misikiti iliyo chini ya Bakwata ndio mambo ya Sadaka yapo sana, ila hakuna kulazimishwa kutoa.
Hii nchi ni ya serikali sio ya waislamuSwala ni kua sikua nimewai kuona kitu kama hicho ndoomana nikashangazwa kuona kimeibuka
Mtu akuharibie jina umwache kisa ana njaa. Sio sahihi