Elimubomba
Senior Member
- Jul 27, 2017
- 111
- 47
HUDUMA HII IMESITISHWA
Una Idea ila kuiweka sokoni inakuwa vigumu? Tengeneza wajinga wengi sana akilini mwako na utatoboa![]()
Jiunge na kundi la WhatsApp la Nufaika na Internet ujifunze mengi zaidi. Kwa kujiunga na kundi la WhatsApp la Nufaika na Internet Tutakuwa karibu zaidi na utaweza kujifunza mambo mengi yanayohusu Mtandao na nguvu ya mtandao katika biashara.
Kwa nini ni muhimu ujiunge na Kundi la WhatsApp la Nufaika na Internet
- Maarifa Mapya ya Mtandao ya kila siku
- Utajifunza kwa undani zaidi njia mpya za kujiingizia kipato kupitia Internet na kupata usaidizi wa moja kwa moja kutoka kwangu.
- Jinsi ya kunufaika na mtandao wa Internet Kibiashara.
- Msaada wa haraka. Utaweza kupata msaada wa haraka katika mambo mbalimbali ya Mtandao wa Internet.
Jinsi ya Kujiunga na Kundi la WhatsApp la Nufaika na Internet
Ili kujiunga na kundi hili unatakiwa kulipia ada ndogo ya Tsh 5,000/- tu kwa mwezi kwenda 0672999266 <TigoPesa jina ABDALLAH HEMEDI kisha tuma ujumbe WhatsApp-0672999266 wenye neno “WhatsApp Group” Utaunganishwa kwenye Group ndani ya muda mfupi tu.
MCHANGANUO WA ADA YA KUJIUNGA NA KUNDI LA WHATSAPP NA OFA KWA AJILI YAKO
Tsh 5,000/- Mwezi Mmoja.
Tsh 12,000/- Miezi Mitatu Okoa Tsh 3,000/- 20% OFF
Tsh 20000/- Miezi Sita. Okoa Tsh 10,000/- 33% OFF
Tsh 30000/- Mwaka Mzima. Okoa Tsh 30,000/- 50% OFF
Samahani, Huu ni ujuzi, na aliykuwa tayari kujifunza Namkaribisha. Kama hauna lengo la kujifunza kutoka kwangu pita kwa amani.
Samahani, Huu ni ujuzi, na aliykuwa tayari kujifunza Namkaribisha. Kama hauna lengo la kujifunza kutoka kwangu pita kwa amani.
Safi sana, Umeuliza maswali mazuri mno.Sitaki kukukatisha tamaa wala sitaki kuonekana napinga jitihada zako za kujiinua kiuchumi.
Ila nauliza tu,
1. nini kinakua dhamana mpaka mtu atume pesa yake kwako kwa ahadi ya kuunganishwa na group la whatsapp?
2. Ni kitu gani unatoa cha ziada sana ambacho hapa jf hakipo, wala youtube hakipo, wala kwenye blogs na tovuti mbalimbali hakipo?
3. Anayelipa atapata uhakika gani kwamba kwenye hilo group lako atajifunza kitu kipya ambacho hakuwahi kukijua?
4.Wasifu wako ukoje, kitaaluma?
5. Endapo mtu akilipia na asiunganishwe je atalalamika wapi? Haki yake itapatikanaje?
Hahaaaha mkuu mara ya pili hii nakuona unafanya uchochezi.
Ajibu haraka au na akae kimya milele ili watu wasijegeuzwa mitaji kwa kuwa anafahamu kila mtu ana shida ya kujikwamua kiuchumi!Sitaki kukukatisha tamaa wala sitaki kuonekana napinga jitihada zako za kujiinua kiuchumi.
Ila nauliza tu,
1. nini kinakua dhamana mpaka mtu atume pesa yake kwako kwa ahadi ya kuunganishwa na group la whatsapp?
2. Ni kitu gani unatoa cha ziada sana ambacho hapa jf hakipo, wala youtube hakipo, wala kwenye blogs na tovuti mbalimbali hakipo?
3. Anayelipa atapata uhakika gani kwamba kwenye hilo group lako atajifunza kitu kipya ambacho hakuwahi kukijua?
4.Wasifu wako ukoje, kitaaluma?
5. Endapo mtu akilipia na asiunganishwe je atalalamika wapi? Haki yake itapatikanaje?
Nimeshamjibu, angalia replies za hapo juu.Ajibu haraka au na akae kimya milele ili watu wasijegeuzwa mitaji kwa kuwa anafahamu kila mtu ana shida ya kujikwamua kiuchumi!
Nimeshamjibu, angalia replies za hapo juu.Ajibu haraka au na akae kimya milele ili watu wasijegeuzwa mitaji kwa kuwa anafahamu kila mtu ana shida ya kujikwamua kiuchumi!
Ahsante kwa maoni yako.Teh teh teh vyuma vimekaza hadi wanabuni njia mbadala
Kama unafaka elimu ingia youtube au Google, achaneni na udanganyifu
Ahsante kwa maoni yako.Teh teh teh vyuma vimekaza hadi wanabuni njia mbadala
Kama unafaka elimu ingia youtube au Google, achaneni na udanganyifu
Umejitafutia mradi wa kupata pesa na HUJAJITOA KUWAPA WATU ELIMU. Otherwise malipo yasingekuwepoAhsante kwa maoni yako.
Natoa ujuzi kwa ridhaa ya anayetaka kujifunza.
Ni kwetu tu tanzania hatujui haya mambo lakini wenzetu nje wana mitandao( Kama Udemy na Tutorvista) inayotoa huduma za mafunzo mtandaoni na zimewasaidia wengi.
Cha ajabu sisi tunaiga ya kujifurahisha tu huku tukipoteza muda wetu.
Hapa angetokea mtu anauza program za GAME KALI ZA RACING AU NYINGINEZO INGEKUWA RAHISI NA WATU WENGI WANGECHANGAMKIA.
ILA MAARIFA YA KUMJENGA MTU WENGI WANAPUUZA.
Nimejitoa kuwasaidia kwa wanaotaka na wasiokuwa tayari, Waendelee kutafuta elimu Google na YouTube itawasaidia pia.
Yapo mafunzo ya bure na mafunzo ya kulipia.Umejitafutia mradi wa kupata pesa na HUJAJITOA KUWAPA WATU ELIMU. Otherwise malipo yasingekuwepo
Yapo mafunzo ya bure na mafunzo ya kulipia.Umejitafutia mradi wa kupata pesa na HUJAJITOA KUWAPA WATU ELIMU. Otherwise malipo yasingekuwepo