Umekurupuka bro
Wakati mwingine muige wenzenu wa nje Kaspersky antivirus mwenyewe anakupa trial unatumia mwezi mzima.
Wewe ungeweka hata sekunde 600 tu mtu aje aone na kama amependa atalipia kama hajapenda ata Left.
Hapa hakuna tofauti na wale wa zile group za ngono eti ulipie 5000 kujiunga je nikifika kule kama ni kuchoma mahindi tu hasara itakuwa ya nani? Ataibeba nani
#We can not buy this#