Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,872
- 34,363
Ukisikia Mafuta ya upako ujuwe ndio hayo mafuta wanayotumia Wachungaji kuwafukuza watu Mashetani wachafu aka Mapepo wachafu wanatumia Mafuta ya Miski nyeupe na mafuta ya zaituni kwa kuwapaka watu na Mashetani wanayakimbia hayo mafuta mawili.Mzizi Mkavu...naomba ufafanuzi hapa...jinsi gani na kwa namna gani ya mafuta ni kinga kwa mashetani wa kijini na kibinadamu.Ukweli juu ya hili ukoje?