Nufaika na mafuta ya MISKI

Mzizi Mkavu...naomba ufafanuzi hapa...jinsi gani na kwa namna gani ya mafuta ni kinga kwa mashetani wa kijini na kibinadamu.Ukweli juu ya hili ukoje?
Ukisikia Mafuta ya upako ujuwe ndio hayo mafuta wanayotumia Wachungaji kuwafukuza watu Mashetani wachafu aka Mapepo wachafu wanatumia Mafuta ya Miski nyeupe na mafuta ya zaituni kwa kuwapaka watu na Mashetani wanayakimbia hayo mafuta mawili.
 
Miski ile yenye rangi nyeupe kama maziwa ama ile yenye haina rang ipo kama maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…