Nuh Mziwanda afunga ndoa

Watu bhana! Eti mungu amjalie, kwani mungu ndie aliyemtafutia mchumba?
 
Yetu sijui lini Maskini Mimi ata hela ya kikao cha kwanza sina..nivumilie tu Nifah wangu uu Utawala wa baba J uishe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Wallah nimecheka sana.
 
Kaacha manundu...kafuata vijipu uchungu

Zamu ya nani leo........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…