Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,281
Aisee basiSasa kama huwezi kutoa hiyo elfu 5 kwa siku utaoaje?
Mke utampa nini?Familia utatunzaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee basiSasa kama huwezi kutoa hiyo elfu 5 kwa siku utaoaje?
Mke utampa nini?Familia utatunzaje?
Hongera sana![]()
Hayawi hayawi sasa yamekua...
Nuh na Nawal wafunga ndoa...
Hongera Nuh na mkeo Nawal....
Wangekuwa hawapendani wasingefunga ndoa.
Bora kaoa Kijana mwenzake, yule sugar mummy Shilole angempotezea Kijana wa watu muda wake bure....wanawake wazee waachie akina diamond,harmonize
Hata angekuwa kwenye machela shughuli yake hapo ni ya muda mfupi tu alafu anawaachia wenye shughuli yao 'wahangaike 'nao.Mbona mfunga ndoa kama mgonjwa au macho yangu? afya inaonekana haiko sawa kabisa
Sivyo hivyo unavyofikiria wewe!, namaanisha staili yao ya ufungaji wa ndoa naupenda sana. MM binafsi napenda sana hiyo staili yao............lakini pia naona kama ndoa za zinaafadhali kidogo kwa wanandoa kuachana, sisikii mara kwa mara ndoa zao zikivunjika vunjika na makashfa mengine kama upande huu wetu. Sijasema nakushauri USILIMISHWE!!!kwani mbona hata wewe ukitaka kufunga ndoa simple inafaa imefikia mahali kila mtu afany jambo lake sio kwa sababu yule kafanya sherehe kubwa basi na mimi nafanya nenda kanisani funga ndoa then umeeanda kapart chako kadogo mnapita hivi
Kuna mahali nimekaona hata kaujumbe, niwewe mwenye ile name & namba?
Siku hizi tunajitahidi kwa hili,maana zile ndoa za msobemsobe zimepungua kwa wastani.Hivi kwa waislam kabla ya kufunga ndoa huwa mnapimwa afya?
Ni kweli,panapo majaaliwa In Shaa Allah.
Huyo dogo alifanyiwa check up?Siku hizi tunajitahidi kwa hili,maana zile ndoa za msobemsobe zimepungua kwa wastani.
Doh,hiyo siri yao ndugu yangu.Huyo dogo alifanyiwa check up?
Ha haShishi alilea, mtoto amekua sasa anaoa.
Nuhu ndo analelewa na huyu demu mbona ? Huyu ni super mario kabadili hadi dinihuyu baby boy marioo hawezi kumtunza/kuishi mke ,hayo ni maigizo.