mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Kuna yule Ras Simba anayefundisha kizungu kwa wiki 3.Akasome huko tujue ukweli
hahaha dah haya bana.Sasa kama yeye kwenye family ndio ana akili kuliko wote, hao wengine watakuwa na hali gani?
Amchuke Shilole waanze MEKWA
Sijui huyo mtoto wa kwanza kwakua ni genius kiasi gani, hapa tuwatoe wazazi maana hiyo IQ kina Kingsmann Statesmann wakasubiriSasa kama yeye kwenye family ndio ana akili kuliko wote, hao wengine watakuwa na hali gani?