Nuh Mziwanda aweka hadharani elimu yake

Nuh Mziwanda aweka hadharani elimu yake

kama ye tahira wa kupata 0 kwao basi hao ndugu zake watakuwa na mtindio wa ubongo na wako mirembe. Haha shilole nae 0000, ubongo umejaa mkojo
 
Nishamsamehe yote anayoyafanya kumbe si yeye
samahani nuh...
 
Teh Teh yani aliyetaga ndio kwao alikuwa na akili kuzidi wenzie duuu
 
Haka kamchezo ka kila mtu kusema alikuwa na akili sana huwa sikaelewi

Kila aliyefeli huwaa hakosi sababu nzuri hata kama kufeli kwake ni sababu ya ukilaza wa kuzaliwa
 
Back
Top Bottom