Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha Jamani, Nazidi Kupata Ufahamu Jinsi Navyopendwa na Shilole

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304


Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nuh Mziwanda, ametoa kali ya mwaka kwa kudai kwamba kitendo cha kupigwa mara kwa mara na mpenzi wake, Zuwena Mohamed ‘Shilole', kinampa furaha na ufahamu wa namna anavyopendwa.

"Kwanza kupigwa raha, mpenzi wako asipokupiga hakuonei wivu, mimi nafurahi sana na namtaka anipige tu! kila siku akijisikia, ananidhihirishia kuwa ananipenda," alisema.

Nuh alisema mengi yamesemwa kutokana na kupigwa kwake mara kwa mara, huku akidai kwamba hilo halina tatizo kwake, kwa kuwa halitaharibu mapenzi yao wanayoamini yatafika mbali.
"Sisi tunawezana na Mungu atusaidie tufikie katika hatua ya ndoa tuliyojiwekea,'' alimaliza.

maoni yangu:

Kuwa mario nayo ni kipaji kweli
 
dogo anapenda vya dezo huyo ndio maana anapigwa ovyo ovyo tu kama anajiona kidume si ajitutumue na yeye amtoe hata ka ngeo kidogo usoni aone kama hatapigwa kibuti akafe na njaa marioo mkubwa huyo
 
dogo anapenda vya dezo huyo ndio maana anapigwa ovyo ovyo tu kama anajiona kidume si ajitutumue na yeye amtoe hata ka ngeo kidogo usoni aone kama hatapigwa kibuti akafe na njaa marioo mkubwa huyo anatuaibisha wanaume
 
shilole amrekodi tu kibamia chake ndo akili itamkaa sawa!! wanaume mario hawana tija kwenye jamii yaani nawachukia...
 
Kanaogopa kuishi kwa wazazi wake atapigwa mpaka akome tunasubiri siku ya kurushiwa mabegi nje
 
Dogo mpuuzi kweli huyu na anatutia aibu anapigwa kila siku yeye tu na alivyo boya anaongea eti kupigwa raha tena Shilole akipiga bia zake balaa Nuhu utamuonea huruma anavyo pelekwa puta na kujichora kwake shishi mikonon atalia siku atakayo mwagwa maana kulelewa hua kunaisha
 
Huyu mdogo ake shilole nae ana matatizo sio bure...hajaona ya edzen!!!
 
Huyu bado mdogo ndio akili zake zinavyomtuma, akiwa mkubwa (mwanaume) sijui ataificha wapi hii aibu.
 
nuh mdogo wangu bdo hujakomaa kiakil acha upigwe tu useme unaona raha,hata kaka zako Gardner na Edzen walikua km ww tu japo hawakuwah kutamka hyo maneno km yako,tofauti yako na yao ni hyo! tunakusubir kwa ham siku uje utamke hta kuvaa pichu ya shilole ni raha,habari zaidi muulize gardener mambo aliyokua anayapata kwa komamdooo
 
Aseme anachukia shish abadileke ghafla hahahahaa anajua kitakachomkuta😛
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…