Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha Jamani, Nazidi Kupata Ufahamu Jinsi Navyopendwa na Shilole

Nuh Mziwanda: Kupigwa Raha Jamani, Nazidi Kupata Ufahamu Jinsi Navyopendwa na Shilole

Na siku akifukuzwa aje atuambie kufukuzwa raha.
 
Malezi ya watoto wa kiume now days yamekuwa magumu sana,sijiu nini kifanyike ili heshima ya mwanaume irudi kama zamani
Kweli kaka kuna tatizo mahali. Huu umekuwa ujinga sasa, huku wanalelewa kule machoko basi imekuwa kero tupu!
 
siku zinakuja atasema anafurahi shilole kumtia dole
 
Barnaba yalipomshinda alikimbia na kutoa wimbo wenye maneno "naona unanipanda kichwani"
 
Atakuja kujitambua siku akiwa mwanaume huu uvulana wake unamsumbua
 
Back
Top Bottom