G guasa JF-Expert Member Joined Dec 30, 2013 Posts 1,933 Reaction score 662 Mar 18, 2015 #41 Na siku akifukuzwa aje atuambie kufukuzwa raha.
mwenyenchi JF-Expert Member Joined Nov 10, 2011 Posts 657 Reaction score 186 Mar 18, 2015 #42 kichomiz said: Malezi ya watoto wa kiume now days yamekuwa magumu sana,sijiu nini kifanyike ili heshima ya mwanaume irudi kama zamani Click to expand... Kweli kaka kuna tatizo mahali. Huu umekuwa ujinga sasa, huku wanalelewa kule machoko basi imekuwa kero tupu!
kichomiz said: Malezi ya watoto wa kiume now days yamekuwa magumu sana,sijiu nini kifanyike ili heshima ya mwanaume irudi kama zamani Click to expand... Kweli kaka kuna tatizo mahali. Huu umekuwa ujinga sasa, huku wanalelewa kule machoko basi imekuwa kero tupu!
deepsea JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 3,287 Reaction score 944 Mar 18, 2015 #43 siku zinakuja atasema anafurahi shilole kumtia dole
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,567 Reaction score 4,683 Mar 19, 2015 #44 Barnaba yalipomshinda alikimbia na kutoa wimbo wenye maneno "naona unanipanda kichwani"
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,819 Mar 19, 2015 #45 Atakuja kujitambua siku akiwa mwanaume huu uvulana wake unamsumbua
KIKOSIKAZI JF-Expert Member Joined Aug 12, 2014 Posts 2,219 Reaction score 1,146 Mar 20, 2015 #46 Anekana atafurahia zaidi kupigwa na mwanaume