Nuh Mziwanda ni Icon ya wanaume wa Dar

Nuh Mziwanda ni Icon ya wanaume wa Dar

Aisee....Hii sasa imezidi. Hata tunaonyamaza inabidi tuongee tu. Hakuna namna !!! Ila dizaini wanaume wa Dar inaelekea sisi ni mwisho wa matatizo ya kimapenzi.

Nimebaini kuwa hawakauki midomoni mwa wa dada wa mikoani. Wengi wao wanapigana vikumbo kutaka kutoka mikoani kuja Dar huku huku ili wajipimie wenyewe vinono. Labda wameona wanavyopewa wakikutwa huko mikoani haviwatoshi. Sio jambo baya kwasababu inaonyesha ku-appreciate treatment wanayopewa kunako 6*6 na nje ya uwanja pia.

Hata hivyo kinachonishangaza ni wimbi la wanaume wa mikoani nao kuwatajataja wanaume wa Dar. Hii sio hulka ya wanaume kamili banaaaa aaaarrgh....hasa wa kiafrica. Ha ha haah!! Hapa mimi napata wasiwasi kidogo. Je ni kwasababu ya wivu wa kuchukuliwa dada/wapenzi zao/wao (maana wanaume wa Dar ni sukari ya warembo!! ha ha) au kuna tatizo jingine tusilolidhania kwa hawa wanaume wa mikoani?

Yeah, maana it can be very worrisome si tunaona watu wanajitokeza siku hizi kwenye media kujitangazia tabia mbaya walizojifunzia mikoani. Labda shemeji zetu wa mikoani wakiwakilishwa na ndugu yetu mleta thread GRAPHIX MASTER watueleze huko mikoani wamekumbwa na nini kiasi cha kuvutiwa sana kuwatajataja wanaume wa shoka wa Dar?? Wanaume wa mikoani acheni kulialia banaa. Sisi ni ndugu wakuu.Ha ha ha ha ha haaaah .
 
[emoji3] [emoji3] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Nashukuru ndugu muongozaji kwa kujitambulisha kwamba na wewe ni mwanaume wa Dar
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mmmh wanaume wa mkoa ndio mpango. Janaume la dar chips yai kimoko dk 0 ulimi nje. Kwa taarifa 2 wanawake wa dar wanachepuka na wanaume wa mikoani
 
We lialia tu hapa wakati mwenzako katumie fursa kupata kiki na anapiga mpunga!
 
Mmmh wanaume wa mkoa ndio mpango. Janaume la dar chips yai kimoko dk 0 ulimi nje. Kwa taarifa 2 wanawake wa dar wanachepuka na wanaume wa mikoani
Wenyewe wanaita chipsi zege, mwezi uliopita Clouds waliwaandalia sherehe ya kula chips
 
Kupiga mpunga kwa mambo ya kichoko huo ndo uanaume wa dar
Wewe yaite ya kichoko,mwenzako ndio hivyo anapiga hela!Unadhani anapata hasara gani kama wewe unamfikiria hivyo wakati yeye mwenyewe anajitambua ni nin anafanya!Hiyo ni sanaa,wanafanya wengi tu!Hata diamond alikuja na ngoma kama Nimpende Nani,nataka kulewa zote hizo akizungumzia yaliyomkumba!Pia kuna ngoma ametoa juzi kati na Ney wa mitego inazungumzia mapenzi na pesa,visa vya historia ya mapenzi vimeendelea kuwemo!Kama pale anapoambiwa alihonga Morano lakini bado akatoswa!
Sanaa ni ubunifu,acha ushamba!
 
Huyu ni nani? Hawa wanaoitwa wanaume wa Dar nadhani tutofautishe na wavulana wao kuna wavulana ambao ni janga zaidi ya wanaume...
 
Jaman vijanaume vya Dar mnakeraje? Looh mnapenda ukitonga mbaya, halafu muache Kula chips Yao basi, mnagongewa Sana hivo viwanawake vyenu ati
 
Wewe yaite ya kichoko,mwenzako ndio hivyo anapiga hela!Unadhani anapata hasara gani kama wewe unamfikiria hivyo wakati yeye mwenyewe anajitambua ni nin anafanya!Hiyo ni sanaa,wanafanya wengi tu!Hata diamond alikuja na ngoma kama Nimpende Nani,nataka kulewa zote hizo akizungumzia yaliyomkumba!Pia kuna ngoma ametoa juzi kati na Ney wa mitego inazungumzia mapenzi na pesa,visa vya historia ya mapenzi vimeendelea kuwemo!Kama pale anapoambiwa alihonga Morano lakini bado akatoswa!
Sanaa ni ubunifu,acha ushamba!
Lazima uunge mkono wanaume wa dar wenzako
 
Jaman vijanaume vya Dar mnakeraje? Looh mnapenda ukitonga mbaya, halafu muache Kula chips Yao basi, mnagongewa Sana hivo viwanawake vyenu ati
Waganga wa mikoani wanakula hela zao sana kwa kuwauzia dawa za kujiboost
 
Lazima uunge mkono wanaume wa dar wenzako
As long as anatengeneza pesa,namuunga mkono!Kuna watu wanajifanya wagumu wamepotea kwenye game,ulizia 20%,huwezi amini kuwa ndio msanii wa kwanza kuchukua tuzo 5 hapa bongo!
Game imechange,msanii usipobadilika hutoboi!
 
Kupotea kwa 20% usihusianishe na huo uchoko, bangi zake ndio zimempoteza, maana watu walimkubali bila kiki za madem
 
Back
Top Bottom