Nuh Mziwanda ni Icon ya wanaume wa Dar

Nuh Mziwanda ni Icon ya wanaume wa Dar

Mmmh wanaume wa mkoa ndio mpango. Janaume la dar chips yai kimoko dk 0 ulimi nje. Kwa taarifa 2 wanawake wa dar wanachepuka na wanaume wa mikoani
Kwa iyo mmeo anakupa kimoko hoiii? Upo wapi apa Dar tuonane nikuutishe kiu yako mama
 
kapigwa makofi sana maskini

angekua huku kwetu tungemchapa fimbo sabini! bila kuangalia afya....... mtoni juu ya jiwe
.
nyaambafff!
 
Ukiishi Dar zaidi ya miaka mitano tayari unakuwa mwanaume wa Dar
Siku hizi issues za udaku ni wanaume wa Dar eti? Hao mnaowatest watoto mchele mchele, kama kuna mtu anataka mume haswa aniPM nimuoneshe tofauti ya mwanaume na hao wapaka poda wenzenu.
 
Mmmh wanaume wa mkoa ndio mpango. Janaume la dar chips yai kimoko dk 0 ulimi nje. Kwa taarifa 2 wanawake wa dar wanachepuka na wanaume wa mikoani


Hapana banaaa....itakuwa ulikutana na wale tunaita wajomba (wanaume wa mikoani) ambao wamekuja either kuleta mazao au kupunguza vumbi la mikoani halafu wakajifanya ni wa Dar. Hao ndio wanaotuharibia sisi mashababi wa Dar. Siku nyingine ujitahidi kubahatisha ili utupate sisi...pure breeds of Dar. Ha ha ha
 
Back
Top Bottom