Nuhu Adams adai simba ishamalizana na Asec kuhusus Stephanie Ki Aziz

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Yaani hii ni good news kutoka kwa mwandishi nguli wa sports (siyo chambuzi la mchongo) aitwaye Nuhu Adams kwa kweli hapa kutakuwa na chama, sakho, luis miqquisone anayerudi kwa mkopo, Adebayor beki jipya la congo.

safi sana viongozi wangu sasa imebaki kuangusha kiungo kabaji moja linaloweza cheza namba nane pia

dunia duara wacha tuzunguuke nayo
 
makolo mta danganjwaa kwa kisingizio cha mbumbuu mbuu day, alafu sijui ni kwanini kila muongo ni lazima awadanganye makolo???
 
Siku ya Wajinga (tarehe 01 Aprili) inahusu hapa.
 
Kipigo kingine kwa Simba, wakala anavuta pesa sisi twaingia hasara
 
Siku ya Wajinga (tarehe 01 Aprili) inahusu hapa.
elewa tu kwamba na luis miqquisone anarudi kwa mkopo, april fools mwisho saa nne bwashee na NUHu adams ahana maujinga ya kina oscar oscar ni watu genuine na wana akili timamu siyo haya makorokocho ya kibongo
 
makolo mta danganjwaa kwa kisingizio cha mbumbuu mbuu day, alafu sijui ni kwanini kila muongo ni lazima awadanganye makolo???
NASIKIIAAAAA KELEEEEE WAMEEEEEEEPIGWA....HAWAAAAAMINIII MACHO YAOOOOO
 
makolo mta danganjwaa kwa kisingizio cha mbumbuu mbuu day, alafu sijui ni kwanini kila muongo ni lazima awadanganye makolo???
Hawaamini hawaaminiii.....
Hawaamini macho yaooooh ooh hawamini macho yaooo!!!
Nasikia kelele uko×2
Kwani niniiii mnyama ashafanya hake!!
Kwani ninii.... mnyama ashafanya yake
 
Hata PSG walishangilia uwepo wa Messi ila saizi wanamzomea!! Mafanikio kwenye mpira sio kusajiri tu pia Kuna nyakati timu inapwaya hata iwe na mchezaji wa Kila aina. Huyu Hana utofauti na Bm3 ila kwakuwa hatujamzoea ndio kwanza mpya tunaona anakiwasha. Wapi Chikwende??. Tunamkrabisha NBC...
 
Punguza shobo umemsifiiiiia Nuhu Adams wako haya huyo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…