Yaani hii ni good news kutoka kwa mwandishi nguli wa sports (siyo chambuzi la mchongo) aitwaye Nuhu Adams kwa kweli hapa kutakuwa na chama, sakho, luis miqquisone anayerudi kwa mkopo, Adebayor beki jipya la congo.
safi sana viongozi wangu sasa imebaki kuangusha kiungo kabaji moja linaloweza cheza namba nane pia
View attachment 2171587
njaakalihatari unaitwa huku[emoji205]View attachment 2172114
π π π π πHawwamini macho yaooooooo...kamati ya mapookeziii hawaamiiniii macho yao.....kimataifa wanapigwa nje ndani...hawaaamiiini machooo yaoooo....round ya kwanza chaliiiiiiiii..hawaaamiiinii macho yaooo
hahahaha.wabongo wababaikaji sana, hy jamaa ni muandishi km waandishi wengine tu.wa bongowajinga ndio waliwao!
Yaani huyo aje kucheza mchangani.Yaani hii ni good news kutoka kwa mwandishi nguli wa sports (siyo chambuzi la mchongo) aitwaye Nuhu Adams kwa kweli hapa kutakuwa na chama, sakho, luis miqquisone anayerudi kwa mkopo, Adebayor beki jipya la congo.
safi sana viongozi wangu sasa imebaki kuangusha kiungo kabaji moja linaloweza cheza namba nane pia
View attachment 2171587
Tunamtaka Tuletee tuPerfect Chikwende hamumtaki tena?