Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Kamrudia Mungu kazi kwako hahaha[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] say whaaat??
Sent from my iPhone 5s using Tapatalk
Ohoooooo!!!
Huyu ndio katoka kuachana na mkewe?
Inamaana huyu kijana kaachana na mke wake?Maskini binti anyangile itakuwaje sasa maana bado mdogo sana kulelewa na mzazi mmoja
Nuhu alipewa shart la kubadili dini ndo apate mke
Ohooooo!!!Du kweli Mungu ndiye ajuae waja wake, Huyu si slimu juzi tu?
Inamaana huyu kijana kaachana na mke wake?
-Ndumilakuwili-