Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 15,328
- 11,192
Ina maana alikuwa Mkristu?Du kweli Mungu ndiye ajuae waja wake, Huyu si slimu juzi tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana alikuwa Mkristu?Du kweli Mungu ndiye ajuae waja wake, Huyu si slimu juzi tu?
Alipata na KipaimaraIna maana alikuwa Mkristu?
I see! Hio kibokoAlipata na Kipaimara
Familia yao ni Wakiristo na yeye alikuwa Mkiristo kabla ya kusilimu hivi karibuni na kupewa mkeIna maana alikuwa Mkristu?
sio mbaya lakini
NimekuelewaFamilia yao ni Wakiristo na yeye alikuwa Mkiristo kabla ya kusilimu hivi karibuni na kupewa mke
Teh teh...yaani baada ya kuslim akapewa zawadi ya Mke..si ndo maana yake eeh?Familia yao ni Wakiristo na yeye alikuwa Mkiristo kabla ya kusilimu hivi karibuni na kupewa mke
Kwa Mungu hakuna linaloshindikana