Nuhu Mziwanda aamua kuokoka na kumrudia Mungu

Nuhu Mziwanda aamua kuokoka na kumrudia Mungu

nuhu%2Bmziwanda%2B%25283%2529.jpg
 
kuna siku nililsikia anasema anatokea kwenye familia ya kikristo sanaa tan baba na mama ni wazee wa kabisa gafla nikasikia kabadilisha dini ili apewe mke uko Zanzibar majuzi katoka kufanyiwa operation cjui ni ya nini kafanya jambo jema kumrudia muumba wake uyo mke akitaka amafate mumewe
 
Back
Top Bottom