Nuhu Mziwanda na Shilole ni Sikio lisilosikia dawa, Wachafua tena watu kwa picha zao chafu mtandaoni

Nuhu Mziwanda na Shilole ni Sikio lisilosikia dawa, Wachafua tena watu kwa picha zao chafu mtandaoni

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Jamani jamani, hii nini tena jamani?? Shilole na Nuh mziwanda wachafua mtandao tena



LEO kupitia kwenye kwenye mtandao ule maarufu wa picha nchini, msanii Nuhu mziwanda a.k.a mume mtarajiwa wa mwanadada Shilole ameweke picha hiyo hapo juu ambayo imezua utata mkubwa sana kwa wadau wachache walioiona picha hiyo kwenye mtandao, kabla haijafutwa. Wengi wao wamehoji,

je kuna umuhimu gani wa kutupia mambo mazito kama hayo kwenye mitandao ya kijamii??

Picha hiyo ilikuwa na maandishi yanayosema;

"I'm just hold it tight, my favorite thing on her boy"

Kwanza kabisa kingereza kibovu, pili picha chafuuu machoni kwa watoto wadogo mtandaoni, why? Why? Why?

Nini maoni yako mdau juu ya picha kama hizi toka kwa wasanii ambao ndio kioo cha jamii?


Chanzo: Bongomovies.com
 
Hao wamevurugwa na maisha na jimama lake,nimeona hiyo ni chafu haifai machoni!!!
 
The yet to be assented bill is put into test...
 
Hata dai ashawahi kumtia dole zarinah na picha ikapostiwa
 
Wasanii sio kioo cha jamii bali sanaa ndio kioo cha jamii...
 
Back
Top Bottom