mnafurahia wakiweka hizi picha. Msingekuwa mnawaanzishia thread za kuwapa kiki wangeacha kupost. Ila sababu wanajua wana customers wengi hawawezi kuacha
Ambae hajawahi shikwa kama shilole alivyo shikwa na Nuhu aje hapa! Na ambae haja wahi mshika mtu hivyo naye aje ape tumuoneee afu tuwapige maswali maana sisi wa bongo tumejariwa midomo penyewe hatulipii