Edwardo Ommy
Member
- Feb 6, 2020
- 36
- 52
Nimepata bahati ya kusoma vitabu mbalimbali mutoka ndani pamoja na nje ya nchi ila kwa leo ningependa nikukaribishe kuelewa nukuu muhimu alizotumia mwandishi Robin S. Sharma
Hapa zipo nukuu alizotumia kushawishi wasomaji wake kuzidi kuvutiwa na utunzi wake..nami nitazileta jukwaani baadhi ya nukuu hizo(Quotes).
1.
“Never regret your past. Rather, embrace it as the teacher that it is.”
(“Usijutie siku zako za nyuma. Badala yake, ikumbatie kama mwalimu ndivyo ilivyo.”)
2.“You will never be able to hit a target that you cannot see.”
("Hautawahi kugonga shabaha ambayo huwezi kuona.")
3."Life doesn't always give you what you ask for, but it always give you what you need.”
("Maisha siku zote hayakupi kile unachoomba, bali yanakupa kile unachohitaji.”)
4.“Everything is created twice, first in the mind and then in reality.”
("Kila kitu kimeumbwa mara mbili, kwanza katika akili na kisha katika uhalisia.")
5.“Wake-up early. Life is short. What if today is the last night of my life? So enjoy life to the full.”
(“Amka mapema. Maisha ni mafupi. Itakuwaje ikiwa leo ndio usiku wa mwisho wa maisha yangu? Kwa hiyo furahia maisha kikamili.”)
6.“You can be a fool for five minutes if you ask a question. However, you are a fool for a lifetime if you hesitate to ask a question.”
(“Unaweza kuwa mpumbavu kwa dakika tano ukiuliza swali. Walakini, wewe ni mpumbavu kwa maisha yote ikiwa unasita kuuliza swali.)
7.Years ago, a wise friend told me that no one ever changes until the pain level gets high enough"
Miaka kadhaa nyuma, rafiki yangu mwenye busara aliniambia kuwa hakuna mtu anayebadilika hadi kiwango cha maumivu kinapokuwa juu vya kutosha".
Zipo nyingi muhimu ila nisiwachoshe sana wakuu.