Nukuu ya Baba!!Watanzania tumejifunza Usaliti practical nyakati za Magufuli na Sasa!!

Nukuu ya Baba!!Watanzania tumejifunza Usaliti practical nyakati za Magufuli na Sasa!!

KAKADO

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
230
Reaction score
336
Huhitaji kusoma biblia wala kusoma msaafu kuelewa Usaliti wa Wanadamu,tunasoma kuelewa zaidi neno la Mungu lakini kwa Usaliti tayari tumeonyeshwa kwa vitendo,Viongozi wakuu wa na washauri wakuu wamekuwa wasaliti wakuu kwa maslahi yao na vizazi vyao,Kwa Siasa za Tanzania Ukitaja Neno Magufuli unapaswa kuwa na hakika huhitaji teuzi,wala maslahi yeyote binafsi,Jina hili sio Zuri sana kwa baadhi ya watu,lakini Embu tuchukue muda kidogo kujikumbusha uzalendo wake kwa watu wake na nnchi yake....Pumzika kwa amani Baba
 

Attachments

  • VID-20220806-WA0078.mp4
    3.5 MB
Back
Top Bottom