Nukuu ya Jenerali Paulo Kagame

Nukuu ya Jenerali Paulo Kagame

Mwenyeheri aliwahi sema, umuhimu wa kabila ni matambiko tu! Likewise, damu zeti na za kinyarwanda hazina tofauti. Kujifunikia boksi la ukabila, nchi nk ni UPUMBAVU mtupu. Ila, kujimwambafy kama kiongozi wa nchi kwaweza kua upumbavu mwingine pia. Laiti WE AS AFRICA were ONE as a continent ambalo limerithishwa baraka tele za utajiri maliasili toka kwa MUUMBAJI, leo hii tusingekejeliwa kwamba ni global idiots ... pit latrines by congenital idiots kama yule TRUMP. Ila Kagame ni swahiba wao saana.
 
Back
Top Bottom