Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,257
Sio kweli, mi sina hulka hizo. Na mataifa yasiyo na upinzani yapo lakini.Naona unajaribu kujustfy hulka yako.
Mm cna mchepukoooo namjalii Sana aliyezishika heartbeat Zangu asije akanisababishia nikastop kubreath bureeee
Kwa mimi mtawa (sister)"Mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na taifa lisilokuwa na chama cha upinzani ......```
Na mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na kikundi cha waasi kinachoendesha vita ya wenyewe kwa wenyewe_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"
Tafakari, Chukua hatua.
Hayakuhusu haya. We endelea kumtumikia bwanaKwa mimi mtawa (sister)
Unaniweka kwenye kundi gani?
Nenda madhabahuni ukatubu tuKwa mimi mtawa (sister)
Unaniweka kwenye kundi gani?