Nukuu ya leo 19-9-2016

Nukuu ya leo 19-9-2016

Sukari Yenu

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2014
Posts
1,698
Reaction score
1,257
"Mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na taifa lisilokuwa na chama cha upinzani ......```

Na mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na kikundi cha waasi kinachoendesha vita ya wenyewe kwa wenyewe_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"

Tafakari, Chukua hatua.
 
Mm cna mchepukoooo namjalii Sana aliyezishika heartbeat Zangu asije akanisababishia nikastop kubreath bureeee
 
"Mwanaume asiye na mchepuko ni sawa na taifa lisilokuwa na chama cha upinzani ......```

Na mwanamke kuwa na mchepuko ni sawa na taifa kuwa na kikundi cha waasi kinachoendesha vita ya wenyewe kwa wenyewe_[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]"

Tafakari, Chukua hatua.
Kwa mimi mtawa (sister)
Unaniweka kwenye kundi gani?
 
Back
Top Bottom