Miwatamu
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 1,450
- 489
Unaweza kumdu kuwadanganya baadhi ya watu wakati wote, na unaweza kumdu kuwadanganya watu wote nyakati fulani. Lakini huwezi kumdu kuwadanganya watu wote wakati wote.
Je, sasa watanzania tuamini kuwa yote tunayoelezwa ni ya ukweli au tunadanganywa?
Tufanyeje sasa!
Je, sasa watanzania tuamini kuwa yote tunayoelezwa ni ya ukweli au tunadanganywa?
Tufanyeje sasa!