Nukuu ya leo: Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana (Mithali 28:16)

Nukuu ya leo: Mkuu aliyepungukiwa na akili huwaonea watu sana (Mithali 28:16)

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Je, kuna uonevu unaopitia katika nchi yako , ofisini, makazi au mahali popote?

Je, umewahi kuripoti katika ngazi zinazohusika lakini bado uonevu unaendelea?

Kama jibu ni NDIYO, Basi ujue kiongozi husika wa maeneo hayo aliyepewa mamlaka katika eneo hilo amepungukiwa na akili!

Ukiona Taifa linaonea wananchi wake, askari wakiwashughulikia wananchi wasio na hatia yoyote aidha kwa kuwapiga na kuwabambikiza makesi makubwa, huku mikakati ikipangwa kumkandamiza Mwananchi kwa uonevu, basi kuna haja ya kuwa na mashaka na akili ya kiongozi wa juu kabisa mwenye mamlaka!

Nini kifanyike:

Simple sana, shughulika na akili ya kiongozi wa eneo hilo aidha kwa kuombea akili yake au vinginevyo , limradi tu akili iliyopunguka imrejee kichwani!
 
Back
Top Bottom