utanipa siku
tukienda tng bana!
au sio?umenionea Filipo!
swahiba nimekumisije?!!
umeadimika kweli!
Achana na Filipo bhana .....Hivi unamfahamu marejesho vizuri kweli?
BTW Passion Lady hivi Ruttashobolwa amekubali nikupeleke KOROGWE?
Achana na Filipo bhana .....Hivi unamfahamu marejesho vizuri kweli?
BTW Passion Lady hivi Ruttashobolwa amekubali nikupeleke KOROGWE?
mwambie kabisaa ArushaoneHah hah hah hah!!!? Wife yupo bedrest anabembeleza mtoto! Niliongea na Ruttashobolwa akanipa baraka zote za kuwa na Passion Lady that day! lol....
Hah hah hah hah!!!? Wife yupo bedrest anabembeleza mtoto! Niliongea na Ruttashobolwa akanipa baraka zote za kuwa na Passion Lady that day! lol....
Asprin vilevile ni ujinga kumpiga marufuku Saharavoice kukanyaga DAR wakati hujatangaza dau kwa atakayemkamata.