Mukulu! Pamoja na kuondoa kinga hiyo, suluhisho pekee ni kupata Marais ambao wana uadilifu, ndani ya mapungufu ya kibinadamu, maana hebu niambie katika mazingira ya Afrika...hivi tunaweza kumpata Rais (waliopita na waliopo) ambaye hana lawama?
Hoja: Tunampata wapi mtu wa aina hii?
nakubaliana na wewe ila ukiangalia kiundani utagundua kuna lawama ambazo ni very minor na nyingine ni vere major. As a leader lazima u deal na zile lawama ambazo unajua politically zitakuwa liability kwako na uongozi wako. Angalia kwa makini aina ya uongozi tulionao hapa Tz kwa sasa kisha niambie kama hujaona mpaka sasa lawama zinazoimbwa kwenye magazeti kila kukicha.
Do your homework mkuu. Ukiweza kusanya usipoweza ipotezee mark mwenyewe.