Nukuu ya Mzee Abdulhaman Kinana kwenye hafla ya kumkabidhi ofisi ya Ukatibu Mkuu mrithi wake Dkt Bashiru Ally Kakurwa

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Ilikuwa Juni 20,2018 kwenye hafla iliyoandaliwa na Watunga sheria kumuaga & kumkaribisha ( Abdulhaman Kinana & Dkt Bashiru Ally Kakurwa)

FB_IMG_16285973961952475.jpg
 
Kikubwa wasiwaulize wananchi ila ukiwauliza viongozi watakwambia wameridhika na uthibitisho ni magazeti ya Tanzania (ila wasionyeshe gazeti la Nipashe, Mwananchi, The Citizen)
 
Duhh "ABDULHAMAN" ndio nini sasa mkuu. usiwe kama wale washambawashamba kutoka vijijini uko.

ABDULHAMAN ❌ ABDULRAHMAN✔
 
Huyu huyu Kinana kwake dollar za kimarekani 75 million siyo kitu mtu wangu wa karibu alimsikiaga akijigamba.

Huyu huyu Kinana hadi wazungu wa Canada wanamtetemekea na kumuogipa jinsi alivyo na mali na hela za kutisha. Kanunua, properties, estates hadi visiwa vidogo vidogo kwenye nchi ya pili kwa ukubwa duniani.
Wakati huo huo watoto wetu wanajengewa matundu ya vyoo kwa msaada wa USAID.
 
Yani huyu jamaa assets anazo Canada za kutisha Calgary Edmonton na Toronto. Kuna maapartments za kufa mtu uswazi Toronto malton, etobicoke yorkshire.
 
CCM huwa wanateuliwa na tume ya uchaguzi, hawachaguliwi na watanzania.
 
Huyu huyu Kinana kwake dollar za kimarekani 75 million siyo kitu mtu wangu wa karibu alimsikiaga akijigamba.

Huyu huyu Kinana hadi wazungu wa Canada wanamtetemekea na kumuogipa jinsi alivyo na mali na hela za kutisha. Kanunua, properties, estates hadi visiwa vidogo vidogo kwenye nchi ya pili kwa ukubwa duniani.

Acha masikini jeuri wa kibongo waendelee kupinga katiba wakati viongozi wetu wanajineemesha, wanamiliki viwanda, mahoteli, manyumba, magari yakifahari, visiwa n.k wanakula bata na familia zao kwa rahazao while masikini jeuri wakibongo wakiendelea kupinga katiba 😁 wonders shall never ends in Afrika hususani Danganyika yetu.

Na badoooo.
 
Huyu huyu Kinana kwake dollar za kimarekani 75 million siyo kitu mtu wangu wa karibu alimsikiaga akijigamba.

Huyu huyu Kinana hadi wazungu wa Canada wanamtetemekea na kumuogipa jinsi alivyo na mali na hela za kutisha. Kanunua, properties, estates hadi visiwa vidogo vidogo kwenye nchi ya pili kwa ukubwa duniani.
Alafu mtu kama huyu leo anaonekana wa maana katika nchi, daaaaah nchi yangu weeeee
 
Back
Top Bottom