Looooooooooool hata kama una chuki dhidi yake hii ni too much, Samata kaenda EPL akiwa na miaka 27 ana miaka miwili tu ya kucheza soka kwa kiwango cha daraja la dunia (juu) baada ya hapo tegemea kumuona akicheza ligi ndogondogo za ulaya ama akirudi Bongo.Mtu ana miaka 38 anasema kafunguliwa njia sijui ya kwenda wapi huyo
Hayo ni maneno ya kina Kelvin John
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda wa mikiani si alicheza na Sumatra TP MazembeKwani mtu akifanikiwa kwa kumtoa kafara mama yake ni lazima nawe umtoe kafara wa kwako ili ufanikiwe? Kuna njia nyingi sana za kufika kilele cha mafanikio Eliud na Messi wako kule tayari unafikiri watafanikiwa kama Samagoal?
Kafunguliwa njia ya kwenda Tandale kwa Mtogole maana ndio aina ya viwanja avipendavyo. Yaani huyu jamaa hajitambui anafikiri kucheza mpira ulaya unaomba kwa kutumia passport. Hata Simba wenyewe watamtema maana mpira anaocheza sasa haueleweki.Mtu ana miaka 38 anasema kafunguliwa njia sijui ya kwenda wapi huyo
Hayo ni maneno ya kina Kelvin John.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kitendo cha ajibu migomba kuikataa TP mazembe kimewakera wadau wengiKafunguliwa njia ya kwenda Tandale kwa Mtogole maana ndio aina ya viwanja avipendavyo. Yaani huyu jamaa hajitambui anafikiri kucheza mpira ulaya unaomba kwa kutumia passport. Hata Simba wenyewe watamtema maana mpira anaocheza sasa haueleweki.
Tulete ushahidi upi wakati TP Mazembe walimsaka kila kona hapo Kariakoo yeye alikuwa anawapiga ahadi za kidemu. Mpaka wakaamua ku surrender na kumchukua Singano aliyekuwa wa Azam. Yaani huyu mtu wako ataendelea kuwagongea buku buku akina Samata na Msuva. Ajue maisha ya uchezaji mpira ni mafupi sana. Akitemwa na Simba itabidi aende Boma FC ya Mwakaleli ili aendelee kujikimu kimaisha.Naomba mwenye ushahidi wa Ajib kukataa kwenda Mazembe kama ule ulioletwa kuhusu Ngassa kukataa kwenda Sudan. Aulete