Nukuu Ya Siku Kutoka Kwa Jerry Muro.

Nukuu Ya Siku Kutoka Kwa Jerry Muro.

magnifico

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2013
Posts
11,075
Reaction score
24,634
"Kushinda washinde #Simba wakishinda #Yanga
wameroga Yaani siku zote mchawi akishindwa
anajua amerogwa mawazo ya wachawi yanakua
ni yakichawi tu...nani asiejua SIMBA ndo timu
inaroga kuliko timu yoyote Duniani kuanzia
wachezaji mpaka viongozi wa Simba ni
vibwengo"
 
Kuna matukio mengi yanayothibitisha yanga ni walozi. Msimu uliopita walipigwa faini na TFF kwa kupita mlango usio rasmi kwenye mechi dhidi ya simba. Kwa nini wapite mlango usio rasmi kama sio walozi?
Umenikumbusha yule mchezaji wa Yanga (Kagere) alipokamatwa na hirizi.
 
Kuna matukio mengi yanayothibitisha yanga ni walozi. Msimu uliopita walipigwa faini na TFF kwa kupita mlango usio rasmi kwenye mechi dhidi ya simba. Kwa nini wapite mlango usio rasmi kama sio walozi?
Hivi hata kama sio mlozi ukikuta vyungu na nazi zimevunjwa njia panda utakanyaga
 
Umenikumbusha yule mchezaji wa Yanga (Kagere) alipokamatwa na hirizi.
Ulozi wa kagere sio ulozi wa klabu. Ila kwa Utopolo klabu yote huwa inajua ulozi waliofanya ndio maana hakuna anaekiuka kupita mlango usio rasmi.
 
Back
Top Bottom