Umenikumbusha yule mchezaji wa Yanga (Kagere) alipokamatwa na hirizi.Kuna matukio mengi yanayothibitisha yanga ni walozi. Msimu uliopita walipigwa faini na TFF kwa kupita mlango usio rasmi kwenye mechi dhidi ya simba. Kwa nini wapite mlango usio rasmi kama sio walozi?
Kaipata mortuaryKagere kashapata hirizi nyingine naona anafunga sasa
Hivi hata kama sio mlozi ukikuta vyungu na nazi zimevunjwa njia panda utakanyagaKuna matukio mengi yanayothibitisha yanga ni walozi. Msimu uliopita walipigwa faini na TFF kwa kupita mlango usio rasmi kwenye mechi dhidi ya simba. Kwa nini wapite mlango usio rasmi kama sio walozi?
Kuna matukio mengi yanayothibitisha yanga ni walozi. Msimu uliopita walipigwa faini na TFF kwa kupita mlango usio rasmi kwenye mechi dhidi ya simba. Kwa nini wapite mlango usio rasmi kama sio walozi?
Hapana ni ulozi
Ulozi wa kagere sio ulozi wa klabu. Ila kwa Utopolo klabu yote huwa inajua ulozi waliofanya ndio maana hakuna anaekiuka kupita mlango usio rasmi.Umenikumbusha yule mchezaji wa Yanga (Kagere) alipokamatwa na hirizi.