House4Sale Numba inauzwa Buguruni

Rockefeller

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
1,209
Reaction score
2,243
Habari za mida,

Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba pia kuna eneo la kuweza kutoa vyumba vitatu single.

Nyumba ipo Buguruni mtaa wa Azimio karibu kabisa na mtaa wa bungoni. BEI NI MILLION 180 (TSH 180,000,000).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…