CtVKiLaZA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 301
- 37
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).
Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.
Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?
Kichwa kinauma kila siku.