Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Nowdays madogo watendao kwa masaburi wanazidi kuongezeka. For I can see it from these nikampopos wavaa salawiri ambao ubongo wao umejaa matobo evere wheaa!! Vipi kuhusu hicho kichwa cha maada? Unaonekana unajiproud sana kiasi kwamba unadiriki kuwaita dada na mdogo mtu chakula yako, kwa akili zako fupi umeona ni sifa sio?? Nyambafuuuu!!! I know the type of ushauri unaoutaka, endelea kula wote wawili ili akili yako ya chini iongezeke, KILAZA umesikia?? Manake najua huwezi kuelewa!
 
Walk the talk, heshima kitu cha bure wala mtu na dada?
kuna vitu hata kama huna dini kuna miiko, kwenu hakuna hata miiko?
Kushare na ndugu wa damu marufuku kubwa bora kushare na manzese yote

mkuu tatizo langu kuja kuomba ushauri hapa. Wangapi wanafanya mambo ya ajabu. Heshima kitu cha bure
 
CtVKiLaza
Mkuu umechemka......................... ila I think the best way ni kuwakalisha wote kwa pamoja (not sure how you can manage that) muongee. Thay way you can apologize to the sister and/or challenge the lies she has been telling mdogo wake about you relationship

dah! Haitawezekana. wanaongea vizuri ila ikishaibuka mada kuhusu mimi ndo amani inapotea.
 
Nowdays madogo watendao kwa masaburi wanazidi kuongezeka. For I can see it from these nikampopos wavaa salawiri ambao ubongo wao umejaa matobo evere wheaa!! Vipi kuhusu hicho kichwa cha maada? Unaonekana unajiproud sana kiasi kwamba unadiriki kuwaita dada na mdogo mtu chakula yako, kwa akili zako fupi umeona ni sifa sio?? Nyambafuuuu!!! I know the type of ushauri unaoutaka, endelea kula wote wawili ili akili yako ya chini iongezeke, KILAZA umesikia?? Manake najua huwezi kuelewa!

mi KiLaZa kweli wala hujakosea. Mungu akuongoze katika safari yako.
 
umejishindia tuzo ya bazazi wa mwaka.
Na popobawa atakutembelea hivi karibuni
usiache kuweka vaseline karibu na kitanda chako
mtu na dada?

Hata alale na vaseline haitamsaidia. Hapa najiuliza amekuja kutuonyeha udume wake au?
 
Asante Kapipi

Nowdays madogo watendao kwa masaburi wanazidi kuongezeka. For I can see it from these nikampopos wavaa salawiri ambao ubongo wao umejaa matobo evere wheaa!! Vipi kuhusu hicho kichwa cha maada? Unaonekana unajiproud sana kiasi kwamba unadiriki kuwaita dada na mdogo mtu chakula yako, kwa akili zako fupi umeona ni sifa sio?? Nyambafuuuu!!! I know the type of ushauri unaoutaka, endelea kula wote wawili ili akili yako ya chini iongezeke, KILAZA umesikia?? Manake najua huwezi kuelewa!
 
dah! Haitawezekana. wanaongea vizuri ila ikishaibuka mada kuhusu mimi ndo amani inapotea.

CtVKiLaZA
Im not buying this at all!!!!!!!!Kwanini isiwezekani wakati wanataka suluhisho, especially huyo mdogo? Ungesema mkubwa atakata maybe that will make sense, but unaedai anakupenda kulia daily kwanini akatae? Anyhow,............... kama wasichana wenyewe hao wameweza kuwa na mtu mmoja so who knows what goes on in their st***d minds!
 
Kama X amekukubali japo umemwambia ushapiga dadake na wewe bado upo tu! Una matatizo wewe.
Wote ni wahuni tu. Msichana mwenye heshima yake hawezi kukubali uchafu wa namna hii.
Angalia safari zako kwenye atm!
 
Nowdays madogo watendao kwa masaburi wanazidi kuongezeka. For I can see it from these nikampopos wavaa salawiri ambao ubongo wao umejaa matobo evere wheaa!! Vipi kuhusu hicho kichwa cha maada? Unaonekana unajiproud sana kiasi kwamba unadiriki kuwaita dada na mdogo mtu chakula yako, kwa akili zako fupi umeona ni sifa sio?? Nyambafuuuu!!! I know the type of ushauri unaoutaka, endelea kula wote wawili ili akili yako ya chini iongezeke, KILAZA umesikia?? Manake najua huwezi kuelewa!

kichwa habari kisikuumize kichwa ni heanding kama ya magazeti.
 
Kama X amekukubali japo umemwambia ushapiga dadake na wewe bado upo tu! Una matatizo wewe.
Wote ni wahuni tu. Msichana mwenye heshima yake hawezi kukubali uchafu wa namna hii.
Angalia safari zako kwenye atm!

X ni Miss Independent. Hakuna safari.
 
Hongera mkuu umefanya nilichoweza miaka kadhaa iliyopita tena ilibaki kidogo tu na binamu aingie kingi.. Lakini kuoa hapo cjui maana mimi ilikuwa adventure tu katika kukua....

daah! Afadhali umekuja kunipa moyo. Kwa hiyo nisioe?? Ni mimi nifanye adventure?
 
CtVKiLaZA
Im not buying this at all!!!!!!!!Kwanini isiwezekani wakati wanataka suluhisho, especially huyo mdogo? Ungesema mkubwa atakata maybe that will make sense, but unaedai anakupenda kulia daily kwanini akatae? Anyhow,............... kama wasichana wenyewe hao wameweza kuwa na mtu mmoja so who knows what goes on in their st***d minds!

umenipa pa kuanzia.
 
Kwa jina la YESU mtoe pepo anaemsumbua huyu kijana, pepo toka mwachie huyu KILAZA tokaa tokaa ashakabararisika yakararararayomusu mwachilieeee! Haya sema AMEN.
 
tafuta mwanamke mwingine hao ni ndugu waache.
una tamaa mbaya ipo siku zitakuua.
unaonekana hujatulia na hujapevuka kiakili ukikua utaacha
 
umejishindia tuzo ya bazazi wa mwaka.
Na popobawa atakutembelea hivi karibuni
usiache kuweka vaseline karibu na kitanda chako
mtu na dada?

Ha ha haaaa nachekaje mbavu zangu mweee
 
Hakuna kuoa mzee hapo usithubutu.. Skeletons za past zinatend kuPop! Out of the closet mbeleni its not a gud idea kabisa kukaa for long.. Endelea kula adventure ukiwa makini tu na kale kaugonjwa ketu...
 
CtVKiLaza
Mkuu umechemka......................... ila I think the best way ni kuwakalisha wote kwa pamoja (not sure how you can manage that) muongee. Thay way you can apologize to the sister and/or challenge the lies she has been telling mdogo wake about you relationship
Nemo, its a good idea kuwa awakutanishe wote lakini ningesuggest hilo lifanyike tu kama ana malengo ya kuoa huyo X.

huyo dada mtu aelewe kuwa ilitokea tu out of the blue, hawakuwa wamepanga mahusiano na hivyo amwache mdogo wake aendelee na jamaa
 
Back
Top Bottom