Numekula mtu (dada) na mdogo wake

CtVKiLaZA

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
301
Reaction score
37
Habari zenu JF.
Mkasa uko hivi.
Kuna msichana X nilikuwa na namfutulia ambaye sasa ndo gf wangu. Lakini haikuwa rahisi ilibidi nifanye kazi ya ziada kupata contact za X . Nilijitahidi kuzoeana na dada yake X anaitwa Ney ambaye ni muongeaji sana na anapenda kudhurura mtaani. Nilikuwa nikimdadisi Ney kuhusu mdogo wake lakni halikuwa haonyeshi ushirikiano. Siku moja Ney akaniambia nitafute sehemu yenye faragha anipe mkasa wote kuhuse X, nikakubali tukakutana, tulipiga story nyingi sana lakini Ney hakutaka katakata kunipa story za X, maongezi yaliendelea huku tukishushia na kitu ya Serengeti baridi. Hatimaye maji yakazidi unga. Tukavunja Amri ya Sita (mimi na Ney).

Sikufurahia kile kilichotokea ila juhudi zangu za kumnasa X ziliendele, hatimaye nikapata namba ya X kupitia na mfanyakazi wao wa ndani. Baada ya muda nikamuweka sawa akaelewa somo na pia nikampa mkasa wote kati yangu na dada yake. Alionyesha kusikitika ila ndo alikuwa ameshakolea kwangu.

Tatizo 😀ada mtu (Ney) amekuwa akitoa maneno ya ajabu na kejeli kibao kwa mdogo wake mpaka anashinda akilia, anasema eti mimi bado ninamahusiano naye, pia vitisho kuwa kama tukioana yeye atavua chupi kanisani na kuturushia.
Naombeni ushauri wenu nifanyeje?

Kichwa kinauma kila siku.
 
Watafutie movie inaitwa 'double wedding'.
Ikishindikana make their mom ur desert! Ulijua umeshaharibu na ney, X uliendelea kumsaka wa nini?
 
Pole sana,mi nakushauri muache 2 huyo mdada,au kuwa m2 wa maombi sana ili roho ya dada yake ibadilike,
 
Watafutie movie inaitwa 'double wedding'.
Ikishindikana make their mom ur desert! Ulijua umeshaharibu na ney, X uliendelea kumsaka wa nini?

changuo langu liliwa X, Ney ilikuwa bahati mbaya katika harakati.
 
naona dogo unarukaruka kama senene
 
Huyo Ney si ungemwita Y kama ulivyomwita ndugu yake X?Kama ni kweli ni lazima kichwa kikuume maana ki msingi umefanya kituko!Ntarudi baadaye kidogo kukupa ushauri wa maana.
 
Tuseme unafanikiwa kumuoa X, uina mpango wa kuwa na bahati mbaya ngapi na ndugu zake (mama mkwe wako included)?. Usitafute mchawi baba,unajiloga mwenyewe! Kwanza nastushwa na aina ya familia yao pia. Kugombea mwanaume na dada? Sipati picha!
changuo langu liliwa X, Ney ilikuwa bahati mbaya katika harakati.
 
Huyo Ney si ungemwita Y kama ulivyomwita ndugu yake X?Kama ni kweli ni lazima kichwa kikuume maana ki msingi umefanya kituko!Ntarudi baadaye kidogo kukupa ushauri wa maana.

hizo herufi zisikuumize kichwa. Story umeilewa
 
embu fanyeni kweli tuone kama ataweza kufanya hicho kituko
 
Pole sana,mi nakushauri muache 2 huyo mdada,au kuwa m2 wa maombi sana ili roho ya dada yake ibadilike,

tatizo huyu mdogo hasikii hawala hambiliki. Naupenda sana msimamo wake kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…