changuo langu liliwa X, Ney ilikuwa bahati mbaya katika harakati.
28yrs. Ongea tu
sina sifa ya ukicheche. Labda tatizo langu kuja kuomba mawazo yenu hapa jamvi.
At 28, unafanya haya?
Nilidhani 17
nenda hospital utakuwa na ugonjwa wa kuweweseka, labda hii ni ndoto tu mbaya
kwa hiyo we ndo una hati miliki ya kuleta upupu wako humu sio. Jiheshimu utaheshimiwa
bora maombi, nategemea ushauri zaidi