Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
mkuu tatizo langu kuja kuomba ushauri hapa. Wangapi wanafanya mambo ya ajabu. Heshima kitu cha bure
CtVKiLaza
Mkuu umechemka......................... ila I think the best way ni kuwakalisha wote kwa pamoja (not sure how you can manage that) muongee. Thay way you can apologize to the sister and/or challenge the lies she has been telling mdogo wake about you relationship
Nowdays madogo watendao kwa masaburi wanazidi kuongezeka. For I can see it from these nikampopos wavaa salawiri ambao ubongo wao umejaa matobo evere wheaa!! Vipi kuhusu hicho kichwa cha maada? Unaonekana unajiproud sana kiasi kwamba unadiriki kuwaita dada na mdogo mtu chakula yako, kwa akili zako fupi umeona ni sifa sio?? Nyambafuuuu!!! I know the type of ushauri unaoutaka, endelea kula wote wawili ili akili yako ya chini iongezeke, KILAZA umesikia?? Manake najua huwezi kuelewa!
mbona mnaleta lawama wakiti tatizo limeshatokea. Cha msingi nifanyeje na sio lawama.
umejishindia tuzo ya bazazi wa mwaka.
Na popobawa atakutembelea hivi karibuni
usiache kuweka vaseline karibu na kitanda chako
mtu na dada?
Nowdays madogo watendao kwa masaburi wanazidi kuongezeka. For I can see it from these nikampopos wavaa salawiri ambao ubongo wao umejaa matobo evere wheaa!! Vipi kuhusu hicho kichwa cha maada? Unaonekana unajiproud sana kiasi kwamba unadiriki kuwaita dada na mdogo mtu chakula yako, kwa akili zako fupi umeona ni sifa sio?? Nyambafuuuu!!! I know the type of ushauri unaoutaka, endelea kula wote wawili ili akili yako ya chini iongezeke, KILAZA umesikia?? Manake najua huwezi kuelewa!
dah! Haitawezekana. wanaongea vizuri ila ikishaibuka mada kuhusu mimi ndo amani inapotea.
Nowdays madogo watendao kwa masaburi wanazidi kuongezeka. For I can see it from these nikampopos wavaa salawiri ambao ubongo wao umejaa matobo evere wheaa!! Vipi kuhusu hicho kichwa cha maada? Unaonekana unajiproud sana kiasi kwamba unadiriki kuwaita dada na mdogo mtu chakula yako, kwa akili zako fupi umeona ni sifa sio?? Nyambafuuuu!!! I know the type of ushauri unaoutaka, endelea kula wote wawili ili akili yako ya chini iongezeke, KILAZA umesikia?? Manake najua huwezi kuelewa!
Kama X amekukubali japo umemwambia ushapiga dadake na wewe bado upo tu! Una matatizo wewe.
Wote ni wahuni tu. Msichana mwenye heshima yake hawezi kukubali uchafu wa namna hii.
Angalia safari zako kwenye atm!
Hongera mkuu umefanya nilichoweza miaka kadhaa iliyopita tena ilibaki kidogo tu na binamu aingie kingi.. Lakini kuoa hapo cjui maana mimi ilikuwa adventure tu katika kukua....
CtVKiLaZA
Im not buying this at all!!!!!!!!Kwanini isiwezekani wakati wanataka suluhisho, especially huyo mdogo? Ungesema mkubwa atakata maybe that will make sense, but unaedai anakupenda kulia daily kwanini akatae? Anyhow,............... kama wasichana wenyewe hao wameweza kuwa na mtu mmoja so who knows what goes on in their st***d minds!
umejishindia tuzo ya bazazi wa mwaka.
Na popobawa atakutembelea hivi karibuni
usiache kuweka vaseline karibu na kitanda chako
mtu na dada?
Balafugo....
Nemo, its a good idea kuwa awakutanishe wote lakini ningesuggest hilo lifanyike tu kama ana malengo ya kuoa huyo X.CtVKiLaza