Numekula mtu (dada) na mdogo wake

Pole kwa yalokukuta sana, ila umefanya makosa makubwa kulala na Ney, wakati ulikuwa unampenda mdogo mtu. Hiyo hali itaendelea kukusuta for the rest of yuor life kwa sababu sio mila zetu za kitanzania.

Inabidi ukae chini na hiyo familia ya mchumba wako na uombe msamaha kwa yaliyotokea yote na utangaze nia ya kutaka kumuoa huyo X. Na unatakiwa umaanishe ya kuwa unataka kumuoa kwa kujanga familia.

Pia jaribu kukaa mbali na huyo Ney, sababu anaweza kukuzushia jambo lolote mkiwa ndoani na X.
 
Halafu hii mbona cha mdori! Mimi nina skulimeti wangu alikula mama na mwanae. Jamaa amshukuru sana mama mtu kwani aliamua tu kuyamalizia nyumbani bila kuyapeleka polisi maana jamaa alichokifanya kilikuwa ni statutory rape na alikuwa anachezea mvua si chini ya tano kama angepatikana na hatia.

And here is the kicker: jamaa kamuoa huyo mama mtu.
 

funzo, siku nyingine sitakuwa mhusika mkuu kwenye story.
 
Hapo kishanuka! Kama house girl analipa nae mpitie, then wabwage wote kwa ujumla usepe!
 
Hawezi kufanya lolote,mpuuzeni,mjinga tu huyo!
 
Halafu vinyozi wengi ni ma.lay.a sana, hamna tofauti na maDJ wa vigodolo.
 

Kongosho.......napata wasi wasi hapo......kuna ulazima kuwa yote hayo yatatokea ama umewazia tu? I mean kuna mfano labda umeshawahigi kuonaga...lol
 
Naona humu watu wengi wanajifanya malaika. Wakati najua wengi wazinzi tu bora hata CtKiLaza aliyeamua kuwa mkweli. Bwana wewe oa huyo mdogo wake x. Ndoa na upendo havina formula. Achana na hao wachafuzi wanaojifanya malaika nyambafu zao.
 
Shetwani @work .................. funga na kusali mkuu usijivunie uzinzi!!!!
 
Naona humu watu wengi wanajifanya malaika. Wakati najua wengi wazinzi tu bora hata CtKiLaza aliyeamua kuwa mkweli. Bwana wewe oa huyo mdogo wake x. Ndoa na upendo havina formula. Achana na hao wachafuzi wanaojifanya malaika nyambafu zao.

mi kufunguka hapa imekuwa nongwa.
 
mmh! dume la mbegu, kwa taarifa yako wote wanangoma!
 
sasa hapa unataka ushauri au unapenda watu wakuone we kidume ???? huo na unachoendelea kukifanya ni upuuzi heshima iko wapi:????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…